Dansel
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 249
- 59
Rafiki yangu mwanzo alifanya application ya Tcu na katika kujiregister alijiregister kama Applicant with Holders of foreign certificate.. wakati yeye amemaliza form six mwaka huu hapa hapa Tanzania... alinunua voucher mpya leo na tukaregister upya as a Form Six,,, Tatizo linakuja baada ya kulogout imeshindikana kulogin upya,, inaandika ,,login fail,, tumejaribu kureset pasword,, but the problem is still there... Msaada unahitajika wa haraka as leo ndo DEADLINE
Together we can make,,
Together we can make,,