Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
- Thread starter
-
- #21
ahahahahahahahaha umetishaNawaza lakini sijui huyo paka watambeba kwenda mahakamani manake na yeye si lazima aonekane pale mahakamani kwa muheshimiwa hakimu kuwa ndiyo source ya mtofuano π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ paka huna hata diploma umetrend kutuacha ss wenye phd π€£π€£π€£π€£π€£π€£ kinyo we! [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482] waiter lete balimi tatu special kwa Paka kajua kutingisha watu mtaani hahahahahahahha ze cat π€£π€£π€£π€£[emoji481][emoji481][emoji482][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482] kawasha moto
Ujumbe murua kabisaJamani wajumbe mliomshauri mleta mada huo ushauri wenu ni wa KISHERIA? mambo ya kisheria hayaamuliwi kimtaani kwani ni masuala ya kitaaluma na kesi tayari ipo mahakamani. Nadhani kwa jukwaa hili ni vema mtu anapoomba ushauri asaidiwe nawanataaluma au wenye experience na suala husika lakini kuuchukua mazoea ya nje ya mahakama katika masuala ya kimahakama au kisheria hatuwezi kujenga lolote zaidi tunakua hatujamsaidia mleta mada wala sisi wengine kupata somo.
Wakuu hebu mwanasheria anipe maswali kama 20 ya msingi ambayo yatapangua kila kitu kuhusu hii kesiJamani wajumbe mliomshauri mleta mada huo ushauri wenu ni wa KISHERIA? mambo ya kisheria hayaamuliwi kimtaani kwani ni masuala ya kitaaluma na kesi tayari ipo mahakamani. Nadhani kwa jukwaa hili ni vema mtu anapoomba ushauri asaidiwe nawanataaluma au wenye experience na suala husika lakini kuuchukua mazoea ya nje ya mahakama katika masuala ya kimahakama au kisheria hatuwezi kujenga lolote zaidi tunakua hatujamsaidia mleta mada wala sisi wengine kupata somo.
Mkuu katika sheria hasa katika cross examination ndio pa kuua nyoka lakini suala ni 'una skills' za kuua nyoka huyo?Wakuu hebu mwanasheria anipe maswali kama 20 ya msingi ambayo yatapangua kila kitu kuhusu hii kesi
Au jamii forum haina wabobez katika hayo mambo kweli?
Natanguliza shukran za dhati
Shukran sn kaka kwa ninavomfaham malalamikaji najua atakomaa na maelezo yake aliyoyaandika polisMkuu katika sheria hasa katika cross examination ndio pa kuua nyoka lakini suala ni 'una skills' za kuua nyoka huyo?
Cross examination haipangwi na mshtakiwa ila inaflow kutokana na namna mshtaki alivyoflow katika examination in chief. Kwa hiyo kukueleza kuwa ni swali gani uulize ni ngumu sana maana hatujui ni hoja zipi zitaibuliwa katika exam in chief.
Katika criminal law kila kosa huwa na elements zake ambapo jamuhuri inakua na kazi ya kuzithibitisha huku wewe na wakili wako mkiwa na kazi ya kuzi'disprove
Huyo paka si wamuuze tu kwa Simba Fc?
Kwanza serikali haiamini katika uchawi
Usiongee kwa ujumla, criminal case nyingine huanzia Mahakama za Mwanzo, hivyo ongea kwa ukamilifu.Mkuu katika sheria hasa katika cross examination ndio pa kuua nyoka lakini suala ni 'una skills' za kuua nyoka huyo?
Cross examination haipangwi na mshtakiwa ila inaflow kutokana na namna mshtaki alivyoflow katika examination in chief. Kwa hiyo kukueleza kuwa ni swali gani uulize ni ngumu sana maana hatujui ni hoja zipi zitaibuliwa katika exam in chief.
Katika criminal law kila kosa huwa na elements zake ambapo jamuhuri inakua na kazi ya kuzithibitisha huku wewe na wakili wako mkiwa na kazi ya kuzi'disprove
Maswali unayopaswa kujiuliza niShukran sn kaka kwa ninavomfaham malalamikaji najua atakomaa na maelezo yake aliyoyaandika polis
Na kule polis kaandikisha kuwa shangaz kamwambia yy anafuga majin ndan na maseha na kwamba kuambiwa hivo amedhalilishwa sn na kwamba anataka shangaz aprove kama yy anafuga vitu hivo
Najua atasimamia katika maelezo yake hayo sasa najua tayar umeshapata picha kaka
Yah hapa naona angalau kuna kitu umetoa kaka,hivo unataka niambia shahid upande wa shangaz yy ndio kila kitu katika kesi hiiMaswali unayopaswa kujiuliza ni
1. Je wakati ndugu yako anaenda kutukana kwa huyo mama kulikua na watu wengine?
2. Je ndugu yako wakati anenda huko kutukana kuna yeyote alikuwepo wa upande wa ndugu yako?
3. Umesema huyo mshtaki aliku akimwambia mtu ndio ndugu yako akasikia, je huyo mtu mwingine anaweza kutoa ushahidi kwa upande wa nsugu yako?
Kama jibu la kwanza ni ndiyo basi tutaingia gia namba 2. Kama jibu la swali namba mbili ni NDIO basi hao ndio watapaswa kuwa mashahidi wa kumsaidia mama yako kwa kueleza uhalisia wa kilichotokea endapo wataamua kutunga wahkikishe wana kumbukumbu.
Kama jibu la swali 3 ni ndiyo basi hapo ndio pa kushindia kesi maana ndugu yako atasema nilipandwa na jazba baada ya kutishiwa maisha ndio nikatokwa na maneno ya jazba ambayo sio matusi.
Huyo mtu aliyekuwepo kwa hiyo jirani yako ndiye anaenda kuamua hii case kuwa nzuri upande wenu
KwwliUsiongee kwa ujumla, criminal case nyingine huanzia Mahakama za Mwanzo, hivyo ongea kwa ukamilifu.
Haaπππ πππ€£πππHamna kesi hapo,,mahakama hazifanyii kazi ya kuhukumu mambo ya kuchambana,,yeye akane hadi mwisho kuwa alisema bibi yule mchawi anafuga majini na shahidi wake asupport kuwa hakusema hivyo