Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
Habari za mchana!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, mwanzo nilikuwa naishi Pwani, ila nikahamia mkoani kikazi na familia yangu.
Lakini Pwani bado nika makazi pia, basi wife akatoka mkoa kuja Pwani. Siku ya pili akanipigia simu na kuniambia kuwa ameamka na kuanza kuhisi maumivu makali usoni (Mithili ya maumivu ya kupakwa pili pili). Sikuwa na Jibu katika hilo.
Jana nimetoka mkoa nimekuja Pwani kuwapa hi, leo asubuhi na mimi naamka najikuta uso wot unauma kama nimepakwa pili pili.
Na kwa mujibu wa maelezo yake, alivyopata maumivu mara ya kwanza aliamua kubadili mashuka, lakini siku ya pili wembe ukawa ule ule.
Jamani msaada, huu ni ugonjwa gani!? Au nini chanzo cha haya maumivu.
Msaada tafadhali, maana hadi ninapoandika huu uzi bado nina maumivu!