Msaada wa haraka unahitajika katika hili( kutokusimama kwa uume-penis)

manushiboy

Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
34
Reaction score
9
Nashukuru kwa members wa jf doctor kwa msaada wanaoutoa kwa post kwa watu wote


mimi ni kijana wa kiume(26) nina tatizo la kutokusimamisha uume niamkapo asubuhi, hali hii nimekuwa nayo kwa sasa (mwaka na nusu) nimejaribu kuwaona madoctor wakawa wana niambia kwamba labda ni mawazo, tatizo la kisaikologia na mambo kama hayo.

Nimejaribu sana kuwa na furaha nione kama hali itabadilika lakini bado ni hivyo hivyo


naombeni mnisaidie nifanye nini ili isimame kama zamani???
 
Unataka ukiamka asbh isimame?? Vp mchana, jion na usiku, inasimama??
 
kibiologia si lazima uamkapo isimame?
kwa sababu hiyo mimi niona nina tatizo, nyakati nyingine sijui kama ni lazima
 
Pole sana, wapo wengi wapo kam wewe, ila kitu mihimu hapo je ukiwa faragha unaweza ku do. kam jibu ni ndio wasi wasi wa nini?
 
Mkuu manushiboy pole sana bado wewe ni kijana kwa huo umri uliokuwa nao upo sawa na mwanangu wa kiume nimesikitika kufunguwa hii thread kuona hayo

matatizo yako. ningependa kuchangia na kukuuliza Maswali Machache Je unapiga Punyeto? na hayo matatizo ya

kuamka asubuhi uume wako kutosimama ni ya muda gani? Je unapoamka asubuhi unapo kwenda chooni kukojoa Uume

wako hausimami huko kabla ya kukojowa?Na Je ukifanya mapenzi na mpenzi wako unazo nguvu za kiume? ninakuomba

unijibu kabla sijatoa Dawa ya kukupa pia waweza kutembelea Thread yangu ipo hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

Unataka ukiamka asbh isimame?? Vp mchana, jion na usiku, inasimama??
Mkuu Chiya Chibi aMuulizaji anauliza swali ili apate kujibiwa wewe unaleta mambo ya masihara?vipi wewe? mbona haueleweki wewe? achana na mambo ya masihara leo kwa mwenzako kesho utakuja na wewe uulize swali tuanze kukujibu kimasihara utafurahi? Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu.

kibiologia si lazima uamkapo isimame?
kwa sababu hiyo mimi niona nina tatizo, nyakati nyingine sijui kama ni lazima
Mkuu manushiboy Kwa

Mwanamme aliye kuwa kamili kiafya ni lazima unapo amka asubuhi toka usingizi unapokwenda kukojowamboo yako

lazima itasimama, isiposimama basi wewe una matatizo yanguvu za kiume nenda haraka kamuone Daktari

iwezekanavyo. hata mtoto mdogo lazişma anapo amka asubuhi ki-ji boo chake kabla ya kukojoa mkojo kitakuwa

kimesimama kisha ndio akojoe mkojo wewe kama una mtoto wa kiume mchunguze utakuja kugunduwa hivyo.

Wasiliana na mimi kwa njia ya Email fewgoodman@hotmail.com
 
Mkuu mzizimkavu hili tatizo ni mwaka na nusu sasa

nimewaona madktari na kuwaeleza ila majibu yao ni kwamba labda ni tatizo la kisaikolojia

punyeto sipigi kwa sasa ingawa awali nilikuwa nikifanya hivyo

wakati wa kukojoa asaubuhi siyo mara zote inasimama,hata kama nimebanwa na mkojo haisimami

wakati wa kusex nikiejacute mara moja basi inalala mpaka nisubiri tena hamu ije au nisiendelee tena



mkuu naomba msaada wako
 
Sidhani kama kuna tatizo hapa. Hakuna relation Kati ya kujaa kibofu cha mkojo na erection, kwahiyo hilo sio tatizo. Mradi inasimima wakati inatakiwa kusimama.


 
Sidhani kama kuna tatizo hapa. Hakuna relation Kati ya kujaa kibofu cha mkojo na erection, kwahiyo hilo sio tatizo. Mradi inasimima wakati inatakiwa kusimama.

sasa mbona kibiologia ni lazima ukiamka asubuhi mboo isimame???????
 
Ok , let me clarify. Kuna erection ambayo hutokea ukiwa stimulated sexually, halafu kuna morning wood ambayo ni wakati ukikuta uume umsimama ( fully or partially ) sababu ya kujaa kibofu, au uliota ndoto filani, shuka ilikusugua etc. it is normal to have it and normal not to have it. Kama uko ok sexually then usiwaze sana.

sasa mbona kibiologia ni lazima ukiamka asubuhi mboo isimame???????
 

Kanunue dawa inaitwa VEGA mg 100. Kunywa vidonge vinne kwa wakati mmoja, tatizo kwishney
 
Ni bidhaa nzuri sana yenye vitamin C, D3,K2,B6,B12,Folate, L-Arginine,sugars
Husaidia katika mzunguko mzuri wa damu, ukuaji mzuri wa misuli,ukuaji na urekebishaji mzuri wa mifupa na tishu za mwili.
Husaidia kwa kiwango kikubwa ukuaji na ufanisi wa nguvu za kiume.
Husaidia umeng'enyaji mzuri wa mafuta na sukari mwilini na vilevile husaidia katika uzalishaji wa hormoni katika mwili.
Ushauri zaidi: healthwealthfirst@gmail.com
 

Attachments

  • 31.jpg
    9.2 KB · Views: 183
Hili ni tatizo lakini na shanga watu wazima wanaleta mchezo jamani na wasii hapa siyo jukwaa la MMU,CC hivyo hili ni jukwaa la Taaluma hivyo kama hatuna cha kuchangia bora tukae kimya tusikilize wanajua tatizo wanasema nini!Ni hayo tu!
 
Aisee watu wanasemaga hivo kwamba ukiamka asubuhi lzm mashine idise sasa sijui kama isiposimama ni tatizo!!! Siwezi kusema pole coz sijui kwamba hilo ni tatizo au la!
 
wacha kuwaza sana kuhusiana na tukio hilo ndio maana unapata shida, relax bana


 
Pole.
1. Acha kabisa mambo ya punyeto, tafuta mchumba au mke.
2. Kunywa maji mengi kwa siku mpaka lita 3.5, usinywe ya kwenye friji.
3. Fanya mazoezi ya kukimbia mwendo wa taratibu dakika 40 daily asubuhi na jioni
4. Pendelea kutafuna vitunguu saumu vibichi, viwili(punje) mara 3 kwa siku.
5. Tumia asali mbichi vijiko 2 kila unapoenda kulala
6. Tumia chumvi ya mawe ambayo haijapita kiwandani kwenye vyakula vyako.
7. Kula saladi japo mara 1 kila siku
8. Punguza vilevi: sigara, pombe na madawa mengine ya kulevya.
9. Punguza kutumia vyakula na vinywaji vyenye kaffeina au asidi kuzidi, pendelea vyakula na vinywaji vyenye alkalini zaidi.
10. Acha kabisa PUNYETO.

Nyumbani | maajabuyamaji.net
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…