Nashukuru kwa members wa jf doctor kwa msaada wanaoutoa kwa post kwa watu wote
mimi ni kijana wa kiume(26) nina tatizo la kutokusimamisha uume niamkapo asubuhi, hali hii nimekuwa nayo kwa sasa (mwaka na nusu) nimejaribu kuwaona madoctor wakawa wana niambia kwamba labda ni mawazo, tatizo la kisaikologia na mambo kama hayo.
Nimejaribu sana kuwa na furaha nione kama hali itabadilika lakini bado ni hivyo hivyo
naombeni mnisaidie nifanye nini ili isimame kama zamani???
Mkuu
manushiboy pole sana bado wewe ni kijana kwa huo umri uliokuwa nao upo sawa na mwanangu wa kiume nimesikitika kufunguwa hii thread kuona hayo
matatizo yako. ningependa kuchangia na kukuuliza Maswali Machache Je unapiga Punyeto? na hayo matatizo ya
kuamka asubuhi uume wako kutosimama ni ya muda gani? Je unapoamka asubuhi unapo kwenda chooni kukojoa Uume
wako hausimami huko kabla ya kukojowa?Na Je ukifanya mapenzi na mpenzi wako unazo nguvu za kiume? ninakuomba
unijibu kabla sijatoa Dawa ya kukupa pia waweza kutembelea Thread yangu ipo hapa bonyeza
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
Unataka ukiamka asbh isimame?? Vp mchana, jion na usiku, inasimama??
Mkuu
Chiya Chibi aMuulizaji anauliza swali ili apate kujibiwa wewe unaleta mambo ya masihara?vipi wewe? mbona haueleweki wewe? achana na mambo ya masihara leo kwa mwenzako kesho utakuja na wewe uulize swali tuanze kukujibu kimasihara utafurahi? Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu.
kibiologia si lazima uamkapo isimame?
kwa sababu hiyo mimi niona nina tatizo, nyakati nyingine sijui kama ni lazima
Mkuu
manushiboy Kwa
Mwanamme aliye kuwa kamili kiafya ni lazima unapo amka asubuhi toka usingizi unapokwenda kukojowamboo yako
lazima itasimama, isiposimama basi wewe una matatizo yanguvu za kiume nenda haraka kamuone Daktari
iwezekanavyo. hata mtoto mdogo lazişma anapo amka asubuhi ki-ji boo chake kabla ya kukojoa mkojo kitakuwa
kimesimama kisha ndio akojoe mkojo wewe kama una mtoto wa kiume mchunguze utakuja kugunduwa hivyo.
Wasiliana na mimi kwa njia ya Email
fewgoodman@hotmail.com