Msaada wa haraka unahitajika tafadhali

Msaada wa haraka unahitajika tafadhali

Lis

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
471
Reaction score
347
Habari ya tarehe 28 wakuu, naomba mnisaidie kunifahamisha tafadhali, hivi inawezekana mwanamke akaingia kwenye siku zake siku moja na ya pili akawa amemaliza? Hali hii imenitokea mm hadi nikapata wasiwasi.

Hii ni Mara ya pili sasa Mara ya kwanza ulikuwa ni mwezi Ulopita.

Pia nataka kuuliza kama kunaweza kukawa na uhusiano na hili, nimejikuta napenda kutumia malimao katika chai, je hii inaweza Kuwa sababu? Na je inamadhara gani? Naomba wataalam mnifahamishe tafadhali.
 
Back
Top Bottom