Gari langu linapiga kelele nikiingiza gia
Hili ndo gari langu la Kwanza kununua, lakini nikiri kusema nilibahatika muuzaji alikua na njaa sana Ni land cruiser prado sx5.0 turbo nilipata Kwa million 7.5 Body ni station wagon Sasa kwanzia jumapili gia zinaingia Kwa tabu sana hasa namba Moja na reverse na niligundua Hilo pindi nimetoka...www.jamiiforums.com
Hapo ukitoa inabaki -1500045000-60000
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo ukitoa inabaki -15000
Original?au bora liendeNimepata Kwa elf 40 na discount ya 3000
Clutch plateNilishakuja na Uzi wiki ilopita kuhusu gari yangu kupiga kelele pindi niingizapo gear. Pia gia namba Moja na reverse zinaingia Kwa tabu sana.
Leo nimekwenda garage wameshusha gear box nikaambiwa hicho kijamaa kwenye picha ndo changamoto inabidi kubadili.
Naomba kujua bei zake Kwa wenye experience, ili nikienda dukani nisije pigwa. Sina exp na magari na spare zake
Gari ni land cruiser prado sx5 turbo
Mshana Jr
Bujibuji Simba Nyamaume
mtu Imara
JituMirabaMinne
Extrovert
Nimepata Kwa elf 40 na discount ya 3000
Clutch plate? Kumbe haikuwa ile synchroniser.. Haizidi lakiNilishakuja na Uzi wiki ilopita kuhusu gari yangu kupiga kelele pindi niingizapo gear. Pia gia namba Moja na reverse zinaingia Kwa tabu sana.
Leo nimekwenda garage wameshusha gear box nikaambiwa hicho kijamaa kwenye picha ndo changamoto inabidi kubadili.
Naomba kujua bei zake Kwa wenye experience, ili nikienda dukani nisije pigwa. Sina exp na magari na spare zake
Gari ni land cruiser prado sx5 turbo
Mshana Jr
Bujibuji Simba Nyamaume
mtu Imara
JituMirabaMinne
Extrovert
@prondo
View attachment 2466605View attachment 2466606
Kumbe spare zake nafuu hv, jamani tuache kuzihofia hizi gari. Na mimi nitainunua aiseeh, bei ya clutch plate inalingana na honda langu lol.Nimepata Kwa elf 40 na discount ya 3000
Hicho kijamaa cha jamaa akifai tena kwa matumizi labda kuuza kama chuma chakavuNiuzie hicho kijamaa