Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

Kumbe spare zake nafuu hv, jamani tuache kuzihofia hizi gari. Na mimi nitainunua aiseeh, bei ya clutch plate inalingana na honda langu lol.
Yah sio bei nafuu nikabadili pressure plate pia nayo haikufika laki, maana nilivochange clutch plate gia zikawa haziingii fundi aka suggest ibadilishwe
 
Nilishakuja na Uzi wiki ilopita kuhusu gari yangu kupiga kelele pindi niingizapo gear. Pia gia namba Moja na reverse zinaingia Kwa tabu sana.
Leo nimekwenda garage wameshusha gear box nikaambiwa hicho kijamaa kwenye picha ndo changamoto inabidi kubadili.

Naomba kujua bei zake Kwa wenye experience, ili nikienda dukani nisije pigwa. Sina exp na magari na spare zake
Gari ni land cruiser prado sx5 turbo


Mshana Jr
Bujibuji Simba Nyamaume
mtu Imara
JituMirabaMinne
Extrovert
@prondo
View attachment 2466605View attachment 2466606
Huko mtaani kwako hakuna fundi?au ulitaka tujue kuwa unayo gali? mbona mbona siku hizi kama baisikeli tu
 
Back
Top Bottom