Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Sasa unaomba msaada gani ndugu yangu?

Hilo begi lina vitu vya thamani ama?

Hebu tulia uandike vizuri; na useme unataka msaada wa aina gani.

Na pole kama huyo dada wa kazi mlikuwa hammnyanyapai, kumtesa na hata kutokumlipa mshahara wake. Vinginevyo ni sawa tu!
 
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Kajipeleka kwa mbwana tumia maarifa ya ki FBI anza kukaa na majirani vzr kuwadadisi au vijana wa hapo mtaani kwako utajua yupo kwa muhuni gani
 
Back
Top Bottom