Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

Alafu mm ni mwanamke ,mtu kaiba vitu sensitive Hadi nguo za ndani yan sikumdhania
Pole sana,

Ila nahisi umeshawaza mambo ya kishirikina ndio maana hofu yako kubwa ni kwa vile ameiba nguo za ndani,

Unapomuajiri Dada wa kazi hakikisha unakua na info zake zote,mpaka kwao uwe unapojua,
Vipi kama angefariki hapo kwako na wewe huna info zozote kuhusu yeye?

Just relax.
 
Namba zipo lakini hakuna ushirikiano maana wapo mbali hko katoro geita na hapatikani
 
Yan hyo Hadi sahv diamond km n yy kafanya hvyo,kwa jinsi tulivyoishi nae vzr nahisi ni pepo
Kama hajaiba kiasi kikubwa cha pesa kausha tu , nilimtafutia b mkubwa mdada wa kazi ,nikawa namlipa 180 na shule ya ufundi nilimpeleka , mwisho wa sku alitoroka na kuiba aliiba , hawa vijana wa sku hizi wengi wao hawana malengo na maisha kabisa.
 
Taarifa yako mbona haijakamilika. Tuliza akili andika ujumbe wako vizuri.
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjin
 
Back
Top Bottom