Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu yake tokea aje haina line ,jana kalipwa tu ndo akaona atorokeila kuna line yangu nlisema hmo naona haipatikaniUnataka umtoroshe tena. Ebooh
Mbona ni kama Mrs wa mtu huyu
Kwao ulikua unapajua kabla?Simu yake tokea aje haina line ,jana kalipwa tu ndo akaona atorokeila kuna line yangu nlisema hmo naona haipatikani
Pole sanaYy mwenyewe hajui alipo na ubaya hakuwaga na cm line n cm tu
Alafu mm ni mwanamke ,mtu kaiba vitu sensitive Hadi nguo za ndani yan sikumdhaniaKwa jinsi ulivyoandika huu uzi wako inaonekana wazi kabisa kua huyo mdada wa kazi ameiba pia akili yako na sio begi tu.
Kazoa kila kitu nguo zote Hadi za ndani begi lina Hadi vyetiKwa jinsi ulivyopanic inaonekana hilo bag lililuwa na zana za uganga
Pole sana,Alafu mm ni mwanamke ,mtu kaiba vitu sensitive Hadi nguo za ndani yan sikumdhania
Boda boda wanasema alipanda gariPole unaonyesha umechamganyikiwa hasa. Anzia kwa boda wa mtaani
Namba zipo lakini hakuna ushirikiano maana wapo mbali hko katoro geita na hapatikaniPole sana,
Ila nahisi umeshawaza mambo ya kishirikina ndio maana hofu yako kubwa ni kwa vile ameiba nguo za ndani,
Unapomuajiri Dada wa kazi hakikisha unakua na info zake zote,mpaka kwao uwe unapojua,
Vipi kama angefariki hapo kwako na wewe huna info zozote kuhusu yeye?
Just relax.
Alipanda Gari gani? kama alipanda Basi, jaribu kuwasiliana na kampuni ya hilo basi ili utoe taaraifa kwao,wao watajua Basi lipo wapi kwa sasa hivi na watampata huyo abiria,Boda boda wanasema alipanda gari
Kama hajaiba kiasi kikubwa cha pesa kausha tu , nilimtafutia b mkubwa mdada wa kazi ,nikawa namlipa 180 na shule ya ufundi nilimpeleka , mwisho wa sku alitoroka na kuiba aliiba , hawa vijana wa sku hizi wengi wao hawana malengo na maisha kabisa.Yan hyo Hadi sahv diamond km n yy kafanya hvyo,kwa jinsi tulivyoishi nae vzr nahisi ni pepo
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjin
Nguo zenyewe zilikua zimeshachakaa zile fanya ununue nyingine tu..Alafu mm ni mwanamke ,mtu kaiba vitu sensitive Hadi nguo za ndani yan sikumdhania
Jina lake Nani?Picha yake ndo hyo