Msaada wa haraka unahitajika

Mkuu pamoja na yote pole sana, watu tumeumbwa tofauti sisi ni binadamu ni kazi sana, si unaona ata mwenyewe, Natumaini utampata
Asante mkuu..Yan naendelea kujifunza
 
umemuchoma na bisu la koromelo katikat ya musiba
 
Ukimpata naomba namba yake ili aje anisaidie kazi za hapa home.
 
umemuchoma na bisu la koromelo katikat ya musiba
Mdada tulikua tunaishi nae vizuri tu tunacheka tunapiga story kama ndugu washkaji .ila kuna vitu vilimshinda (mtoto n special case)...ila km ameshindwa yy angeondoka tu asiguse kitu cha mtu ingekua vizuri zaidi
 
Labda ulikua hujamlipa malipo yake yote ikabidi ajilipe kwa kubeba begi.
 
Na amelipwa kwa wakati jana tar moja..ndo alikipwa na ndo alikua amefikisha mwezi tokea aje
Mkuu amelipwa tena kinachoniuma zaidi aliongezewa ela extra ili aweze kushughulikia shida zake lkn ndo hvyo hana shukrani
 
Mkuu amelipwa tena kinachoniuma zaidi aliongezewa ela extra ili aweze kushughulikia shida zake lkn ndo hvyo hana shukrani
Huyu itakua kuna mtu amemwambia afanye alichokifanya,
Kuna mdau amesema huyo hayupo mbali,hii ina make sense,ulizia wana wa kitaa watakua wanajua tu,
waahidi kua utawapa hela,watampata tu au kukupa info zitakazokusaidia,
Anzia na bodaboda kisha wauza chipsi au Duka la mangi hapo kitaani,anaweza kukwambia kua amepanda Basi ili kukupoteza tu,huyo hayupo mbali kwasasa.
 
😁😁😁Mimi ni mwanamke na tulikua tunaishi ndani wanawake wote
Basi chunguza vizuri huenda rafiki yako wa kiume kapita naye mkuu. Wanaume hawashibi papuchi.
 
Haka katoto kakipata mtu akakaoa kisha akaka spoil katakuwa hatari sanaaa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…