msaada wa haraka unahitajika

msaada wa haraka unahitajika

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
jina langu liko kati ya watu waliokosea baadhi ya vitu kwenye maombi ya mikopo nilisahau kuweka signature na kunauwezekano wa mtu mwingine kwenda bodi kunisainia maana nko mbali na dar!
 
jina langu liko kati ya watu waliokosea baadhi ya vitu kwenye maombi ya mikopo nilisahau kuweka signature na kunauwezekano wa mtu mwingine kwenda bodi kunisainia maana nko mbali na dar!

pole sana
lakini kumbuka form yako ina passport size yako labda wamsainishe tu bila kuangalia passport ya mwombaji vinginevyo yatakua majanga tupu.
 
Huu ni mkataba haiwezekani mtu mwingine akakusainia, jipange uje dsm kwani mwisho ni tarehe 30 Aug
 
Huu ni mkataba haiwezekani mtu mwingine akakusainia, jipange uje dsm kwani mwisho ni tarehe 30 Aug

huo ni udikteta kweli unaweza kwenda dar alaf na mkopo wakakuzingua tena yaan ni full utata asee
 
Back
Top Bottom