Ahsante.Uliwapatia vitamin pamoja na glucose pindi ulipowaleta??? Chukua vifaranga 3 vilivyokufa peleka kwa wataalam wachunguze ujue nini shida, pili angalia chakula unachowapa chaweza kuwa chazo
Subili na wengine waje watoe maoni yao
vitamin ni zoezi endelevu kwa wk ya kwanza na ukiwapa chanjo. Pia taja aina gani ya vifaranga? Unajitaidi kuzuia ubichi bandani, ungepata mtu mzoefu angekusaidia. Chakula gani unawapa?
Waliobaki wape vitamini na glucose