Wajasiriamali habari za jpili? Nina vfaranga hapa shambani kwangu kama cku nne toka niwalete cha ajabu ni kila nkienda kuwacheki nakuta wamekuwa wanyonge na hivi sasa nmeshatupa vfaranga zaidi ya 15 toka nwalete... Nawapa joto la mkaa na chakula chao hakipungui ikiwemo maji... Jaman naombeni msaada wa mawazo yenu make nshaanza hata kuogopa kwingia bandan kwa kukuta vfo vingine...