glamorama
Member
- Jan 3, 2020
- 56
- 55
Natumai Ni wazima nyote humu jamvini.
Mwanzo gari yangu ilikuwa in heat sana na ikawa inavuja maji,fundi akabadilisha gasget na cylinder head.kuwasha gari ikawa inakataa,yani inakaribia kuwaka lakini inaishia kuunguruma tu.
Fundi akcheki pump ya mafuta na akasema inashida,akaweka ingine na kasema kikombe gani sijui huko lakini akabadilisha ila Bado ngom hai gain momentum.naamini humu Kuna wataaamu naomba msada wenu was maarifa