gari gani mkuu nissan au bmw?Natumai Ni wazima nyote humu jamvini.
Mwanzo gari yangu ilikuwa in heat sana na ikawa inavuja maji,fundi akabadilisha gasget na cylinder head.kuwasha gari ikawa inakataa,yani inakaribia kuwaka lakini inaishia kuunguruma tu.
Fundi akcheki pump ya mafuta na akasema inashida,akaweka ingine na kasema kikombe gani sijui huko lakini akabadilisha ila Bado ngom hai gain momentum.naamini humu Kuna wataaamu naomba msada wenu was maarifa
Hukua zako passo wala hutokuwa na sonona ila kama unataka sonona kachukue sijui BMW au vanguardNdiyo nataka ninunue ...Ila nasikia gari zinaleta sonona balaa😔...nawaza
Mwalimu na magari ya gharama wapi na wapi....😔C
Hukua zako passo wala hutokuwa na sonona ila kama unataka sonona kachukue sijui BMW au vanguard
AtamwaribiaHuyu ataishia kukunulisha gari nyingine kwa kubadishisha kitu kimoja kimoja.
Kitachofuata atakwambia body ina matatizo.
Mkimbie kabla kununulishwa sahani maana vikombe tayari.
vuta zako toyota mkuu walau mafundi wanazijulia aiseeNdiyo nataka ninunue ...Ila nasikia gari zinaleta sonona balaa😔...nawaza
Ahahahaa chukua passoMwalimu na magari ya gharama wapi na wapi....😔
Kwanza ungesema hio gari ni ipi yani make na model!Natumai Ni wazima nyote humu jamvini.
Mwanzo gari yangu ilikuwa in heat sana na ikawa inavuja maji,fundi akabadilisha gasget na cylinder head.kuwasha gari ikawa inakataa,yani inakaribia kuwaka lakini inaishia kuunguruma tu.
Fundi akcheki pump ya mafuta na akasema inashida,akaweka ingine na kasema kikombe gani sijui huko lakini akabadilisha ila Bado ngom hai gain momentum.naamini humu Kuna wataaamu naomba msada wenu was maarifa
Noah kipengele Sana zikianza kuchokaNoah
Noah dume au ile kama voxy?Noah