Msaada wa haraka uume unaleta majanga

Msaada wa haraka uume unaleta majanga

wakuu habari zenu nina jamaa angu anahitaji msaada uume wake kadiri siku zinavoenda unazidi kuwa kubwa anahitaji msaada wa haraka maana ishakuwa tatizo mficha maradhi yatamuumbua.mjumbe hauawi

mwambie aende hospitali.
 
jamaa angu anahitaji msaada uume wake kadiri siku zinavoenda unazidi kuwa kubwa
Wakati mnaanza kujamiiana uume wake ulikuwa size gani na sasa umeongezeka kwa size gani? Kwenye heading umesema uume unaleta majanga. Majanga gani hayo? Mnashindwa kujamiiana?
 
Wakati mnaanza kujamiiana uume wake ulikuwa size gani na sasa umeongezeka kwa size gani? Kwenye heading umesema uume unaleta majanga. Majanga gani hayo? Mnashindwa kujamiiana?

Aash huyo ni msela wangu mkuu tafadhali
 
Ok huyo jamaa vp ameshapata soln ya tatzo lake ushaur wang atembelee vituo vnavyotoa tiba mbadala au kuwaona madktar bingwa wa viungo vya uzazi hlo swala nyet alooooo.(nt:angalia uskurupukie midawa kikawa kama cha mtoto ni hatar) ....
 
Mwenzenu nina kabamia hata sina hamu.

umebarikiwa ulimi,,unaweza utumia alternatively
avatar39592_6.gif
 
Punda alipewa mkubwa kwasababu alimbeba yesu, sasa yeye kambeba nani? shetani
 
Wakuu habari zenu nina jamaa angu anahitaji msaada uume wake kadiri siku zinavoenda unazidi kuwa kubwa anahitaji msaada wa haraka maana ishakuwa tatizo mficha maradhi yatamuumbua.mjumbe hauawi
kuwa mkweli wewe jamaa yako wapi? Kuwa muazi upate msaada.
 
Wakuu habari zenu nina jamaa angu anahitaji msaada uume wake kadiri siku zinavoenda unazidi kuwa kubwa anahitaji msaada wa haraka maana ishakuwa tatizo mficha maradhi yatamuumbua.mjumbe hauawi
Pole sana mimi ninahisi ni wewe sio jamaa yako lakini ukiwa ni wewe au

jamaa yako pole sana watu wanatafuta dawa za kurefusha uume wewe unatafuta dawa

ya kufupisha uume kasheshe kweli. Haya fanya hivi basi kisha uje unipe mimi MziziMkavu

Feedback. MWANA MUME mwenye Uume Mkubwa kupita kawaida tafuta tafuta myegea

utwange na kisha uchemshe kwa maji uwe uvuguvugu na uwe unanawia hii kwenye

hilo dushelele lako litatapunguza ukubwa insha allah.
 
Wakuu habari zenu nina jamaa angu anahitaji msaada uume wake kadiri siku zinavoenda unazidi kuwa kubwa anahitaji msaada wa haraka maana ishakuwa tatizo mficha maradhi yatamuumbua.mjumbe hauawi

Kuna dawa ninayo , ukitaka apone mwambie anitafute niweze mchunguza kwa kina halafu nimpatie tiba ya uhakika.
 
Back
Top Bottom