Anna Deo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 598
- 407
Habari ndugu wanajf,Nina ndugu yangu ametokewa na uvimbe tumboni.Anadai umeanza muda mrefu na umekuwa ukiongezeka siku hadi siku hadi umefikia hapo.pia anasikia maumivu kwenye hup uvimbe.Leo ndo nimeuona na sijui nianzie wapi? Hospitali gani? Sina ata idea kuwa hiki ni kitu gani.Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.Mmewah kuona mtu mwenye uvimbe kama huu?
Natanguliza shukrani zangu.
Natanguliza shukrani zangu.