Msaada wa haraka:uvimbe wa ajabu

Msaada wa haraka:uvimbe wa ajabu

Anna Deo

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
598
Reaction score
407
Habari ndugu wanajf,Nina ndugu yangu ametokewa na uvimbe tumboni.Anadai umeanza muda mrefu na umekuwa ukiongezeka siku hadi siku hadi umefikia hapo.pia anasikia maumivu kwenye hup uvimbe.Leo ndo nimeuona na sijui nianzie wapi? Hospitali gani? Sina ata idea kuwa hiki ni kitu gani.Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.Mmewah kuona mtu mwenye uvimbe kama huu?

Natanguliza shukrani zangu.
 
Nimeattach picha ila sizioni najaribu tena
 
Una maanisha nini kusema hujui uanzie wapi/hospitali gani?

Pole, kwa kuuguliwa..ingekuwa ni vyema kueleza ndugu yako ni wa jinsia gani, uvimbe ulikuwa hapo toka lini (aliugundua) lini, kama uvimbe unaongezeka haraka au taratibu, kama kuna maumivu(toka lini), kama uzito wake umepungua au la! n.k zaidi ungeweka picha...kuanzia sehemu ya chini ya kifua hadi kiunoni!
 
Nenda hospitali, atafanyiwa vipimo vya maabara na tatizo lake litajulikana kwa matibabu
 
Una maanisha nini kusema hujui uanzie wapi/hospitali gani?

Pole, kwa kuuguliwa..ingekuwa ni vyema kueleza ndugu yako ni wa jinsia gani, uvimbe ulikuwa hapo toka lini (aliugundua) lini, kama uvimbe unaongezeka haraka au taratibu, kama kuna maumivu(toka lini), kama uzito wake umepungua au la! n.k zaidi ungeweka picha...kuanzia sehemu ya chini ya kifua hadi kiunoni!

Picha naupload zinakataa,bado naendelea kujaribu kuweka
 
Back
Top Bottom