Una maanisha nini kusema hujui uanzie wapi/hospitali gani?
Pole, kwa kuuguliwa..ingekuwa ni vyema kueleza ndugu yako ni wa jinsia gani, uvimbe ulikuwa hapo toka lini (aliugundua) lini, kama uvimbe unaongezeka haraka au taratibu, kama kuna maumivu(toka lini), kama uzito wake umepungua au la! n.k zaidi ungeweka picha...kuanzia sehemu ya chini ya kifua hadi kiunoni!