Msaada wa haraka wa kisheria kuhusu Sheria ya Eviction

1. pale ambapo mkataba wa Upangishaji unapokwisha muda wake(Malipo)basi moja kwa moja mpangaji anapoteza haki ya yeye kuwa mpangaji katika jengo au nyumba husika na kwa mjibu wa sheria anachukuliwa kama Mvamizi(Trespasser),na akishapewa Notisi na Mwenye nyumba ya Kuhama au kuhlipa kodi katika muda aliojulishwa basi Mwenye Nyumba anayohaki ya kutumia njia yeyote ile ya kumtoa katika nyumba yake ikiwemo kutumia madalali(Court Brokers) au kufungua kesi katika Baraza la Ardhi dhidi ya mwamizi(Trespasser) ambaye alikuwa mpangaji wake,kwa sababu mpangaji alishindwa kuhama mwenye kwa hiara yake hivyo kumfanya mwenye nyumba kulazimika kutumia nguvu kumtoa.

2.Mtu yeyote ampaye alipata madhara ya eviction kwa namna yoyote ile hana haki ya kisheria ya kupata fidia yoyote kutoka kwa aliyekuwa mwenye nyumba yake wala kwa Court broker kwani Mvamizi/Trespasser,sabbu ya hivyo ni kuwa sheria umempa kila mtu haki ya kutumia na kudarhia mali yake pasipo kuingiliwa au kuadhiriwa na mtu yeyote na katika kuhakikisha haki hiyo haivunjwi na yeyote basi anaweza kutumia namna sahihi za kuzuia uvunjifu wa yeye kutumia haki yake,pamoja na hayo katika sheria kuna kanuni ambayo inasema that no person should be allowed to benefit from his own wrong -"Nullus Commodum Capere Protect De Injuria Sua Propria."
Je unaweza kusaidia kunifahamisha kwamba eviction inapofanyika dalali anakamata vitu na KUKAA navyo ama anavipiga mnada?? Kwenye issue hii ya shemeji dalali alipakia vitu akapeleka kuhifadhi kwenye ghala yake na kuanza kucharge storage..akaombwa aachilie VYETI akagoma. Hakupiga mnada vitu mpaka akapatwa na mafuriko na Mali zikaharibika...angekuwa katoa vifaa akatupa nje vikaharibiwa ama vikaibiwa hapo sawa...lkn dalali alivichukua akapeleka store yake akaanza KUCHARGE storage...aliambiwa na nani? Ni sahihi?
 
1. pale ambapo mkataba wa Upangishaji unapokwisha muda wake(Malipo)basi moja kwa moja mpangaji anapoteza haki ya yeye kuwa mpangaji katika jengo au nyumba husika na kwa mjibu wa sheria anachukuliwa kama Mvamizi(Trespasser),na akishapewa Notisi na Mwenye nyumba ya Kuhama au kuhlipa kodi katika muda aliojulishwa basi Mwenye Nyumba anayohaki ya kutumia njia yeyote ile ya kumtoa katika nyumba yake ikiwemo kutumia madalali(Court Brokers) au kufungua kesi katika Baraza la Ardhi dhidi ya mwamizi(Trespasser) ambaye alikuwa mpangaji wake,kwa sababu mpangaji alishindwa kuhama mwenye kwa hiara yake hivyo kumfanya mwenye nyumba kulazimika kutumia nguvu kumtoa.

2.Mtu yeyote ampaye alipata madhara ya eviction kwa namna yoyote ile hana haki ya kisheria ya kupata fidia yoyote kutoka kwa aliyekuwa mwenye nyumba yake wala kwa Court broker kwani Mvamizi/Trespasser,sabbu ya hivyo ni kuwa sheria umempa kila mtu haki ya kutumia na kudarhia mali yake pasipo kuingiliwa au kuadhiriwa na mtu yeyote na katika kuhakikisha haki hiyo haivunjwi na yeyote basi anaweza kutumia namna sahihi za kuzuia uvunjifu wa yeye kutumia haki yake,pamoja na hayo katika sheria kuna kanuni ambayo inasema that no person should be allowed to benefit from his own wrong -"Nullus Commodum Capere Protect De Injuria Sua Propria."
Na je ni muhimu kupewa notice? Shemeji yangu alipewa notice ya 14 days, ahame. Ni sawa?
 
pengine wakati wanachukua vitu vya shemeji yako isingekuwa rahisi kufahamu ndani yake kuna vyeti au madaftari ya shule,ila kwa namna yoyote ile zoezi la kuchukua vitu halikufanyika kwa haki au usawa kama ulivoeleza hapo awali.
Mimi nilidhani eviction wangetoa vitu nje, hata vingeharibika ningemwambia shemeji kosa ni lako... Lakini majembe wamevitoa, wakavishikilia Ili wapige mnada Kodi ilipwe.. shemeji ameomba APEWE VYETI na nguo na documents muhimu, majembe wamegoma wanataka awalipe storage ya 400,000/ kwa siku. BAADAE kaenda Tena yupo TAYAR alipe hiyo storage wao ghala lao wanasema limepata mafuriko...kwani SI Wana bima?? Nani aliwaomba wahifadhi hivyo vitu... Na kwanini hawakupiga basi mnada wamekaa na vitu zaidi ya mwaka??
 
Poleni Sana kwa changamoto,naomba kukujibu kesho kwa umakini zaidi
 
Yes, ni kweli.

Reasonable time for a legal eviction order is minimum of 30 days, not 14 days.
Sasa hapo wanasema kwamba mtu kama hajalipa Kodi anahesabia ni trespasser, hivyo ni mpangaji haramu hafai kupewa notice...nimeogopa sana.

Cha pili, auctioneer anapopewa order ya kufanya eviction hapo hapo anaruhusiwa kumkamata vifaa vya mteja na kuviweka ghalan kwake Huku akidai alipwe storage charges?
 
sina Experience sana na practise inayofanyika na Brokers ila ambacho naweza kusema ni kwa muhiska kufika ofisini kwao kuomba mchanganuo wa gharama husika ilikuweza kujua namna ya kuendelea mbele zaidi
 
Mahusiano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni katika kutimiza terms za mkataba lipa kodi ya nyumba pata haki ya kuishi kwenye hiyo nyumba,mpangaji muda wa mkataba ukiisha na ukashindwa kulipa Kodi tayari wewe ni mvamizi na huna mahusiano tena na mwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom