Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
- Thread starter
-
- #21
Sasa swali mbona wanakataa kumchukua MTU mwingine ambaye c mfanyakazi je haki kisheria????? Ndo hapo nataka kujua piaNakushauri kama kesi ni J3 kesho waombe wakupe muda uweze kumtafuta mwanasheria akusimamie ili ujipange usije ukapanic ukaharibu. Kisheria wanatakiwa wakupatie muda huo hata kama utakuwa mfupi kiasi gani, then mtafute mwanasheria hata maeneo ya karibu na ww ili uweze kumudu gharama zake, mpe full scenario ya suala lako naamini atakusaidia vizur sana. Otherwise pole sana.
Yaan kwenye mikataba yote ya wafanyakazi,,,hawajaweka hicho kipengere kabsa,,,,kuna sheria za kawaida kabsa
Hapa bana wachungaji hatukoseagi,,,,,,,,ni jiran yangu,,,,na kesi ndo SAA tatu hiiHivi nyie hamjamuelewa mchungaji apo huyo MTU anaezungumziwa hapa ni yeye mwenyewe na kimbelembele chako cha kuletaga hapa huku habari za huko kilombero sasa utanyooka wewe unajipa kazi za upr sio?
Kweli kabsaa mkuu,,,,,,na hii ndo faida ya jukwaa hiliAcheni kumshambulia uyu MTU mpeni msaada km kuna atakae weza kumsaidia mambo ya yeye au ni mwingine sio hoja hapa
Hahaha mchungaji umekuwa mpole hata type mrejesho kesi imeendaje na yule hakimu wenu mhh, hivi yupo yule mzee wa kipare binge hivi?Kweli kabsaa mkuu,,,,,,na hii ndo faida ya jukwaa hili