Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
- Thread starter
- #21
Sasa swali mbona wanakataa kumchukua MTU mwingine ambaye c mfanyakazi je haki kisheria????? Ndo hapo nataka kujua piaNakushauri kama kesi ni J3 kesho waombe wakupe muda uweze kumtafuta mwanasheria akusimamie ili ujipange usije ukapanic ukaharibu. Kisheria wanatakiwa wakupatie muda huo hata kama utakuwa mfupi kiasi gani, then mtafute mwanasheria hata maeneo ya karibu na ww ili uweze kumudu gharama zake, mpe full scenario ya suala lako naamini atakusaidia vizur sana. Otherwise pole sana.