jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,983
- 1,423
Naomba kujulishwa bei ya nauli ya ndege kati ya Dar-es-salaam na Nairobi safari ni jumapili au jumatatu asubuhi maana natakiwa kufanya Transfer ya ndege nyingine Jioni siku nitakayofika..kama utaweza kunipa bei nzuri ni inbox address ya office yako niweze kuja kununua.