Msaada wa haraka wa safari..dsm-nrb

Msaada wa haraka wa safari..dsm-nrb

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Naomba kujulishwa bei ya nauli ya ndege kati ya Dar-es-salaam na Nairobi safari ni jumapili au jumatatu asubuhi maana natakiwa kufanya Transfer ya ndege nyingine Jioni siku nitakayofika..kama utaweza kunipa bei nzuri ni inbox address ya office yako niweze kuja kununua.
 
nashukuruni wakubwa nimeweza kufanikiwa..
 
Back
Top Bottom