Msaada wa haraka wadau

Maning Nice ya Mtwara (T896DUY) ndio imeingia muda huu hapa Magufuli Terminal ikitoka Moro, aje apande ashukie Mnazi Mmoja pale atapata basi za Masasi, au asubiri Tashriff ya Tanga - Masasi inaingia sio muda mrefu
Kesi imeisha mfate pm mjulishe chap
 
Tufunge mjadala mhusika kaamua kukubali kujila amekata mlola ( Dar nachi gari ya kesho )ili apunguze na uchovu so leo acha afight alale town maisha mengine na utawala mwingine ni kesho kesi imeisha hio
 
Maning Nice ya Mtwara (T896DUY) ndio imeingia muda huu hapa Magufuli Terminal ikitoka Moro, aje apande ashukie Mnazi Mmoja pale atapata basi za Masasi, au asubiri Tashriff ya Tanga - Masasi inaingia sio muda mrefu
Kama nimemuelewa vizuri lakini,anachokwepa yeye ni huo mzumguko wa panda shuka panda shuka kutokana na nauli yenyewe ni dusko yeye anataka chuma ya moja kwa moja from Dar to Nachingwea.

Labda mleta mada uje umsome mdau hapa kama utamuelewa.
 
Acha zako boss yaani na mitandao hii kumuongezea hata 20alf akapambana akawahi, eti nauli haitotimia!? ...unazingua.!!
 
Acha hizo,mtumie Hela alipe nauli kuliko kuombaomba ofa ya usafiri.
 
Kama nimemuelewa vizuri lakini,anachokwepa yeye ni huo mzumguko wa panda shuka panda shuka kutokana na nauli yenyewe ni dusko yeye anataka chuma ya moja kwa moja from Dar to Nachingwea.

Labda mleta mada uje umsome mdau hapa kama utamuelewa.
Hakuelewa kaka ndio mana ila fine shughuli imeisha
Acha zako boss yaani na mitandao hii kumuongezea hata 20alf akapambana akawahi, eti nauli haitotimia!? ...unazingua.!!
Unaweza iona 20k kubwa kwako kozi unayo ila mie nimeamka na elfu tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…