Gari nyingi za kuja nachingwea au masasi kwa kutokea mbezi ( stend ya magu hua ni za alfajiri 12) . Ila kwa kijichi na mwandege mda huh bado sana changamoto iliopo ni kua 40k akisema atoke apo aende mbagla plus mizigo alionayo meanz kua 38k ya nauli haitotimia na ndio mana nikaona niangalie msaada around au aanzie safari hapo kwani namjua kichwa maji mizunguko hio alone hatoboi na pia kwa wanaosema kusini gari ni nyingi ila ni Mkoa wa mtwara sasa mtu akipata gari ya mtwara now ni kua lazima ashuke mnazi mmoja ambako kuna kilmita zaidi ya 150 au zaidi sina uhakika kuifikia nachingwea.