kidesturi sio kuoana bali mume kuoa mke na hivyo kumfanya yule aliyeolewa kuhamia kwa mume!
Lakini kama wewe uko tayari kuolewa na mke basi hakuna shida ukihamia kwake!
Kumbuka kawaida ni kama sheria!
[quote=auditor of mafisadi;4986817]ni sheria na kifungu gani kinachosema mkishaoana mke apate transfer kwenda kwa mumewe
mnisaidie wakuu.[/quote]