AUDITOR OF MAFISADI
Senior Member
- Jan 25, 2012
- 106
- 34
Ni sheria na kifungu gani kinachosema mkishaoana mke apate transfer kwenda kwa mumewe
mnisaidie wakuu.
mnisaidie wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kidesturi sio kuoana bali mume kuoa mke na hivyo kumfanya yule aliyeolewa kuhamia kwa mume!
Lakini kama wewe uko tayari kuolewa na mke basi hakuna shida ukihamia kwake!
Kumbuka kawaida ni kama sheria!
[quote=auditor of mafisadi;4986817]ni sheria na kifungu gani kinachosema mkishaoana mke apate transfer kwenda kwa mumewe
mnisaidie wakuu.[/quote]