dah! dstv KIMYAAA! Nasubiri time ifike labda game itazuka somewhere. Otherwise it's just bad, a minus really. Naskia Star Times wataonesha kwa Setanta.
Bado haijaanza, lakini bado dakika chache tu kuanza kama utaifuatilia kwenye Net... ingia hapa...huenda ikakupasa kudown load program ya kuweza kukuletea uhondo huo.