Msaada wa haraka wakuu- mechi ya el classico

Msaada wa haraka wakuu- mechi ya el classico

Rogie

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
7,586
Reaction score
6,697
Ndugu zangu naombeni msaada wa kufahamishwa hii mechi inaonesha na TV station gani maana SS zote naona hamna kitu.
Pls wadau
 
dah! dstv KIMYAAA! Nasubiri time ifike labda game itazuka somewhere. Otherwise it's just bad, a minus really. Naskia Star Times wataonesha kwa Setanta.
 
Startimes wanaonyesha kupitia setanta africa na sasa Madrid wanongoza kwa goli moja limefungwa Ronaldo.
 
Imeisha na kama ilivyo kawaida Mourinho amejeruhiwa. 2-1
 
Asanteni wakuu..kwa bht mbya cna king'amuzi so ilibd nianze kufatilia kwa net. Nashukuru sn.
Je kuna haja Mourinho akubali kuwa hawa jamaa hawawezi?
 
Back
Top Bottom