Acha siasa watu wanaitaji msaada wa kisheria unatisha watu. Lengo la jamiiforum ni elimu sio vingine.Haya ni ma Tiss tu yanakuja na hoja za kisheria then yanakuita pm, kwakuwa humu wengi wanajifanya viherehere wa sheria, ndio njia rahisi ya kukuingiza shimo la tewa. Kuweni makini
Pm please japo hatufahamianiHaya ni ma Tiss tu yanakuja na hoja za kisheria then yanakuita pm, kwakuwa humu wengi wanajifanya viherehere wa sheria, ndio njia rahisi ya kukuingiza shimo la tewa. Kuweni makini
Sahihi kabisaHuna haja ya PM. Huyo kama ana hukumu ya mahakama (yeye akiwa ndiye decree holder), na jamaa hawajampa pesa yake, arudi pale pale mahakamu akakazie hukumu.
Mahakama itatoa amri ya kukamata mali, zitduzwa atapewa chake.
14 years mahabusu? Ilikuwa ni kesi gani hiyo ya mauaji? Au uhujumu uchumi? Au wizi wa kutumia silaha?Ipo hivi;
Rafiki yng alikamatwa na kukaa mahabusu Kwa miaka 14 Kwa kesi ya kusingiziwa.Ametoka amefungua kesi ya fidia na anadai ameshinda malipo yake ni million 140.
Sasa utata ni kwenye utekelezaji wa malipo hayo yanayotakiwa lipwa na kampuni.ANAZUNGUSHWA,na nachokiona ni kwamba amekosa msaada wa mtu wa kumwongoza.Jamaa yupo Mbeya, kiukweli hana msaada.Akipatikana mtu wa Jirani hapohapo mbeya akamsaidia anaweza pata HAKI yake hii ambayo me naona imezuiliwa sehemu.
PM me Kwa maelekezo na mawasiliano zaidi.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app