mwahaja
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 391
- 105
Ipo hivi;
Rafiki yng alikamatwa na kukaa mahabusu Kwa miaka 14 Kwa kesi ya kusingiziwa.Ametoka amefungua kesi ya fidia na anadai ameshinda malipo yake ni million 140.
Sasa utata ni kwenye utekelezaji wa malipo hayo yanayotakiwa lipwa na kampuni.ANAZUNGUSHWA,na nachokiona ni kwamba amekosa msaada wa mtu wa kumwongoza.Jamaa yupo Mbeya, kiukweli hana msaada.Akipatikana mtu wa Jirani hapohapo mbeya akamsaidia anaweza pata HAKI yake hii ambayo me naona imezuiliwa sehemu.
PM me Kwa maelekezo na mawasiliano zaidi.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app