Msaada wa haraka wakuu

Msaada wa haraka wakuu

Flammable

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
872
Reaction score
103
Naomba mwenye busara na huruma anisaidie,nimechagua vyuo vikuu v3 then vingine nikamalizia bt cha kushangaza nilivyoongeza mpaka sasa havpo,vinaonekana vyuo vitatu2 UDOM,UDSM§DUCE.Vp hapo haina madhara yeyote??Mungu awabariki natanguliza shukran kwa mwenye mawazo mazur!
 
Jaribu hivi:

1. log in
2.bofya Application
3. ongeza hizo programs
4. tia tick pale chini na usave changes
5. LOG OUT
6. LOG IN
7 bofya My Profile - lazima changes zionekane
8.bofya My Selection Status
9. bofya hapo pekundu: For those with programmes marked "NOT ELIGIBLE or CHECK IN PROGRESS...."
Form Six >> CLICK HERE << to check for eligibility.

LAZIMA UPATE JIBU. KILA LA KHERI
 
da na mimi inanisumbua sehemu ya choice ya mwisho.nina cut point 8 na nimeaply mzumbe,udsm,udom,muccobs imeandka yes lakn chaguo la mwisho kila nkiweka koz yeyote inaandka no,tena za vyuo vyenye cut point 2,sasa mbna ud imeandka yes kwa accounts lakn chuo cha ruaha univ inakataa ,nimewapigia wamesema nijarb kuchagua na ku log out lakn wap
 
Back
Top Bottom