Msaada wa haraka wana jf

Msaada wa haraka wana jf

maleka

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
143
Reaction score
33
Naomba yeyote mwenye ujuzi wa software inayoitwa ORION DESKTOP inayotumika sna na ma-suppliyer ktk bussines anijuze kwa ufupi inavofanya kzi.:A S new::A S new::A S new:
 
Mkuu,ungejaribu kwenda na kule jukwaa la gadgets,sci. & techno,wanaweza kuwa na majibu yenye matumaini zaidi...
 
Back
Top Bottom