DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkuu Kama mna shamba tafuta MTU awape hela nyie mumpatie shamba
Endapo mgonjwa akipona mtamlipa hela yake.
Pia Chukua document zake zote na picha yake na ushahidi uende clouds FM uonane na Team njia panda ili watz wamchngie
Tatu weka hapa ushahidi JF wenye nia ya kutoa watatoa chochote kitu
Nne hiyo pikipiki iuzeni maana haina maana Kwa muda huu hata Kama ni ya mkopo iuzeni muhimu Afya
Tano Uzeni Asset za mgonjwa Kama zipo
Sita ongea na ustawi wa jamii wampatie msamaha hapo moi
Saba Msiache kumuombea