Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

Status
Not open for further replies.
Mkuu Kama mna shamba tafuta MTU awape hela nyie mumpatie shamba

Endapo mgonjwa akipona mtamlipa hela yake.

Pia Chukua document zake zote na picha yake na ushahidi uende clouds FM uonane na Team njia panda ili watz wamchngie

Tatu weka hapa ushahidi JF wenye nia ya kutoa watatoa chochote kitu

Nne hiyo pikipiki iuzeni maana haina maana Kwa muda huu hata Kama ni ya mkopo iuzeni muhimu Afya

Tano Uzeni Asset za mgonjwa Kama zipo

Sita ongea na ustawi wa jamii wampatie msamaha hapo moi

Saba Msiache kumuombea
 
Asante sana ndugu yanguu nafanyia kazi ushauri wako.
 
Kaka asante sana... Kwa ushauri mzuri... Pikipiki ilikua ya mkopo .. pia wazazi walifariki wadogo atukuachiwa ata mashamba na yeye bado kijana alikua ndo anajitafuta apate chochote kitu.. ila menginenafanyia ushauri asante ndugu zangu🙏🙏🙏
 
Pikipiki ya mkopo zile za makampuni Hadi umalize ndo unapewa document Kaka.
 
Nimepokea I receive naamini utapata Pa kuanzia na mgonjwa atapona inshallah 🙏🏽
 
Bodaboda huwa wanaona Barabara zote zao na wao pekee ndo wana haki ya kutumia, wanaendesha pikipiki utadhani wamewekewa vyuma mwilini vya kuwazuia wasivunjije viungo.
 
Weka number ya mchango hapa. Kuna watu wako tayari kuchangia lakini hawawezi kuandika chochote hapa
 
Mtafute ndugu Godlisten Malisa ana platform kubwa na ushawishi mkubwa kwa jamii endapo atpokea ombi lako mawwza pata msaada huo ndani ya masaa tu
Kuna wanaomuona Malisa ni tatizo wanatumia nguvu nyingi Sana kumnyamazisha, Tena Ni watu wenye elimu nzuri tu.
Ukiwaomba wachangie hapa hata Mia hawatatoa.
 
Pole,sana, nenda kwenye ofic ya mkuu wa mkoa au mmbunge kuna mfuko wa kuwasaidia watu, ukijieleza vizuli unaweza dhaminiwa hospitall au unaweza lipiwa ,

Lkn andika usi mwingine uweke vielezo na namba unaweza changiwa hapa
 
Asante sana ndugu nitafanya ivyo
 
Hii ni kweli,nimeona mahospital mengi makubwa,pia wana umoja ubaotwa Jai,hawa wana mpaka Ambulance,na wanasaidia wagonjwa,na pia zinachangwa pesa misikitini kwa ajili ya wagonjwa,bila kujali dini ya mgonjwa.
 
🙏
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…