Msaada wa haraka wataalam wa Toyota Vitz kupata joto nimekwama mikumi

Msaada wa haraka wataalam wa Toyota Vitz kupata joto nimekwama mikumi

Nipo kati kati hapa injini rejeta mpya, haivuji, feni ipo sawa kabisa ila gari ina heat kila baada ya km 30 40, inabidi niipaki ipoe msaada wa haraka
Pole chief,Kama ni piston 3 imeisha hiyo vuta Hadi Moro pima head Kama ipo sawa funga gasket ya karatasi vinginevyo utaikaanga yote.
 
Nipo kati kati hapa injini rejeta mpya, haivuji, feni ipo sawa kabisa ila gari ina heat kila baada ya km 30 40, inabidi niipaki ipoe msaada wa haraka
Angalia kama fan inapuliza sehemu sahihi. Isijekuwa imegeuzwa nyaya ikawa inapuliza nje
 
Ni Bora utafute mafundi Tu hapo morogoro kuliko kuanza biashara ya kubahatisha
 
Back
Top Bottom