jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
Uko wapi?Ndugu zangu naombeni mnisaidiee juu ya hili tatizo. JUzi nimenda hospitalini kumwona dr nikamuelezeaa kuwa tumbo linaniumaa na naharisha vitu kama makamsi sikupima ilaa aliniandikiaa dawa ambazo ni ciproflox na cotrimoxale nilivuosoma different article online nikagundua kuwa zinatibu u. t.I ila tangu nimeanza kuzitumiaa ndo mwili unakufa ganzi upande mmojaa mkono mpaka mguuni plzz naomba nisaidiee nina tatzo gan na je hiz dawa ni nzur?je zinatibu u.T. i??naomba nisaidie nipate kujuaa manake mwili wangu upande mmoja unakuwa kama sio wangu japokuwa tumbo limepona ila dozi sijamaliza..
nipo dar nduguUko wapi?
Mkuu nahisii Una amoeba .....Ndugu zangu naombeni mnisaidiee juu ya hili tatizo. JUzi nimenda hospitalini kumwona dr nikamuelezeaa kuwa tumbo linaniumaa na naharisha vitu kama makamsi sikupima ilaa aliniandikiaa dawa ambazo ni ciproflox na cotrimoxale nilivuosoma different article online nikagundua kuwa zinatibu u. t.I ila tangu nimeanza kuzitumiaa ndo mwili unakufa ganzi upande mmojaa mkono mpaka mguuni plzz naomba nisaidiee nina tatzo gan na je hiz dawa ni nzur?je zinatibu u.T. i??naomba nisaidie nipate kujuaa manake mwili wangu upande mmoja unakuwa kama sio wangu japokuwa tumbo limepona ila dozi sijamaliza..
Mkuu.@Jerry joshy Ziache hizo dawa zitakupa maradhi ya kupooza upande mmoja rudi tena hospitali ukapime muone Daktari mwengine achana nae huyo Dr.Jipu. kama unajuwa kusoma kiingereza soma hapa madhara ya kutumia hizo dawa .Ndugu zangu naombeni mnisaidiee juu ya hili tatizo. Juzi nimenda hospitalini kumwona Dr nikamuelezeaa kuwa tumbo linaniumaa na naharisha vitu kama makamsi sikupima ilaa aliniandikiaa dawa ambazo ni Ciproflox na Cotrimoxale nilivyosoma different article online nikagundua kuwa zinatibu UTI..
Ila tangu nimeanza kuzitumiaa ndo mwili unakufa ganzi upande mmojaa mkono mpaka mguuni plzz naomba nisaidiee nina tatzo gan na je hiz dawa ni nzur? Je zinatibu UTI?? Naomba nisaidie nipate kujua manake mwili wangu upande mmoja unakuwa kama sio wangu japokuwa tumbo limepona ila dozi sijamaliza..