jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
Ndugu zangu naombeni mnisaidiee juu ya hili tatizo. Juzi nimenda hospitalini kumwona Dr nikamuelezeaa kuwa tumbo linaniumaa na naharisha vitu kama makamsi sikupima ilaa aliniandikiaa dawa ambazo ni Ciproflox na Cotrimoxale nilivyosoma different article online nikagundua kuwa zinatibu UTI..
Ila tangu nimeanza kuzitumiaa ndo mwili unakufa ganzi upande mmojaa mkono mpaka mguuni plzz naomba nisaidiee nina tatzo gan na je hiz dawa ni nzur? Je zinatibu UTI?? Naomba nisaidie nipate kujua manake mwili wangu upande mmoja unakuwa kama sio wangu japokuwa tumbo limepona ila dozi sijamaliza..