Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

usser

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
13,956
Reaction score
14,032
Ukimeza karatas ya nailon
Haya yakufungia sugar
Meupe na co lizima n


Kidogo hata hakawez
Kuingia vijiko vya skar
Viwili,

je kuna madhara
Yoyote maana hisi
Kama nmelimezea kwenye
Chakula wakat wa kula


Triple A
 
kula na msosi wa kutosha ili pressure iwe kubwa kimba kitoke.... ukienda haja kubwa chunguza kama karatasi imetoka au la.
 
Back
Top Bottom