Simply: Ni mwonekano gani unaofanya kazi ya fasihi iwe ^na makali yake^ (nadhani unaipata mantiki hii!???) --- fasihi inafundisha, inakosoa, inaburudisha, inajenga, etc. Sasa ni mambo gani yanayoifanya kazi ya fasihi iwe ^upanga haswaa^!?
NB: ^in wich^ --- in which