Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

Jiwe kuu001

Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
50
Reaction score
25
Wakubwa naomba ufafanuzi wa swali hili linahitaji nini

"In wich circumstances the literature review is said to be critical"
 
Simply: Ni mwonekano gani unaofanya kazi ya fasihi iwe ^na makali yake^ (nadhani unaipata mantiki hii!???) --- fasihi inafundisha, inakosoa, inaburudisha, inajenga, etc. Sasa ni mambo gani yanayoifanya kazi ya fasihi iwe ^upanga haswaa^!?

NB: ^in wich^ --- in which
 
Back
Top Bottom