Msaada wa haraka

Simbamteme

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
804
Reaction score
2,131
Kuna binti m1 jirani yangu ktk rukaruka zake kapata mimba,jamaa wake kamshauri wakaitoe,yeye hataki na anakaa na bibi yake.Kaja kwangu kuomba ushauri,nimshaurije jamani?naombeni msaada wenu
 
mwambie wakayamalize na dume lake kama ambavyo walianza....akili mukichwa huyo dada amekutega ukikosea tu ukajifanya msamalia wa kwenye biblia umeliwa...
 
mwambie asitoe ni dhambi kukatisha maisha ya kiumbe kisicho na hatia
 
Walipoanza ruka ruka zao waliomba ushauri kwa nani? Mwambie vile vile walivyoanza, walivyoendelea bila kutumia kinga, waleee mimba na hatimaye mtoto hivyo hivyo.
 
Binti ana umri gani??
Bibi yake tayari anajua??
Matumizi yake anapata wapi??
Mtoto atamlea vipi??
Hayo yote ni maswali ambayo anatakiwa ayajibu ili tujue hali yake ilivyo!!
Unachotakiwa kumshauri sio tu atoe au asitoee ila namna ya kuhakikisha ataweza kumlea mtoto/mtoto wake ataweza kulelewa vizuri (msaada wa ndugu na marafiki..watu wengine wa nje).
 
Mtu anakuja kwako anataka umshauri akaue na ww umeksa jbu, na unatka 2kushauri.
 
Daima hutmia busara na hekima mungu akupe afiya njema Inshaalah naunga mkono
 
jiengue mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mana ukimsaidia yule jamaa yake anaweza sema kumbe ni yako na si yake mana mimba ya msela yanii kukufata ww
 
naunga mkono hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…