Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 804
- 2,131
Kuna binti m1 jirani yangu ktk rukaruka zake kapata mimba,jamaa wake kamshauri wakaitoe,yeye hataki na anakaa na bibi yake.Kaja kwangu kuomba ushauri,nimshaurije jamani?naombeni msaada wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti ana umri gani??
Bibi yake tayari anajua??
Matumizi yake anapata wapi??
Mtoto atamlea vipi??
Hayo yote ni maswali ambayo anatakiwa ayajibu ili tujue hali yake ilivyo!!
Unachotakiwa kumshauri sio tu atoe au asitoee ila namna ya kuhakikisha ataweza kumlea mtoto/mtoto wake ataweza kulelewa vizuri (msaada wa ndugu na marafiki..watu wengine wa nje).
naunga mkono hoja!Binti ana umri gani??Bibi yake tayari anajua??Matumizi yake anapata wapi??Mtoto atamlea vipi??Hayo yote ni maswali ambayo anatakiwa ayajibu ili tujue hali yake ilivyo!!Unachotakiwa kumshauri sio tu atoe au asitoee ila namna ya kuhakikisha ataweza kumlea mtoto/mtoto wake ataweza kulelewa vizuri (msaada wa ndugu na marafiki..watu wengine wa nje).