Msaada wa haraka

Bila shaka unafanya kazi za online. Tafuta mtu umfunze awe anafanya we unafanya kumlipa mshahara wakati ukiendelea na masomo. Note, usimwambie unapata kiasi gani ataingia tamaa
Shida nina contract 3 za clients, moja na ambayo inanilipa mkwanja mrefu inatakiwa atakayekuja kuzifanya awe na access ya account yangu moja kwa moja yaani awe na login credentials. Mimi sitaki kushare login credentials kwenye account ambayo inaendesha maisha yangu. Hizo zingine contract mbili hazina shida kwa sababu naweza kumuachia mtu afanye then nikamlipa
 
Bila shaka unafanya kazi za online. Tafuta mtu umfunze awe anafanya we unafanya kumlipa mshahara wakati ukiendelea na masomo. Note, usimwambie unapata kiasi gani ataingia tamaa
Upo sahihi
 
Freelancing mkuu
 
Tumia desktop client yani anayefanya awe na access na computer yako iwe kama anafanya kutoka kwenye computer yako so hutakuwa umeshare credential zako.
Freelancing inahitaji muda na client hawataki excuse all they want to see ni kazi inaenda
 
Taja kwanza hiyo kazi nasisi tupige hayo mamilioni, au unataka kutajirika pekeyako?[emoji28](jokes) achana na hayo maskuli sjui maschool utapoteza muda wako bure, labda kama una uhakika wa ajira na connection.

Kijana upatapo channel/mwanya wa kupiga pesa, piga haswa, hayo mambo ya kusoma yalishapitwa na wakati
 
Tumia desktop client yani anayefanya awe na access na computer yako iwe kama anafanya kutoka kwenye computer yako so hutakuwa umeshare credential zako.
Freelancing inahitaji muda na client hawataki excuse all they want to see ni kazi inaenda
Bila shaka unamzungumzia Anydesk au Team Viewer, kutumia hizo tools natakiwa pia niwe nimewasha PC yangu ili aweze kupata access ya kile kinachoonekana kwenye PC yangu, Sasa hapo unaona ugumu uliopo
 
Piga chini law school kwanza alaf tafta hela.
Zikitosha japo kdg ndo uende ili hata ukitoka iwe na kianzio
 
Bila shaka unamzungumzia Anydesk au Team Viewer, kutumia hizo tools natakiwa pia niwe nimewasha PC yangu ili aweze kupata access ya kile kinachoonekana kwenye PC yangu, Sasa hapo unaona ugumu uliopo
Yes sion ugumu mkuu maana utakachomwachia tu ni hyo account anayofanyia kazi account nyingine zote utasignout. Kama una mafile ya muhimu utayapiga kwenye folder lenye password ili asiwe ya access. Halafu unaiacha pc online unampa access nayo aweze kufanya kazi remotely via account.
There is always a solution to each problem.
 
Lengo niongeze vyanzo vya mapato. Lakini kazi zangu zinazoniingizia Milioni 1 kwa mwaka nafanyia kwenye computer na simu sasa hapa nawaza nitabalance vipi kazi hiyo na law school make hiyo kazi ndo inayoniingizia hiyo hela.
Personal discipline nidhamu ndio Cha msingi Ili uendelee kihudhuria darasani na kufanya kazi usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…