ContentCreator
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 151
- 231
- Thread starter
- #21
Shida nina contract 3 za clients, moja na ambayo inanilipa mkwanja mrefu inatakiwa atakayekuja kuzifanya awe na access ya account yangu moja kwa moja yaani awe na login credentials. Mimi sitaki kushare login credentials kwenye account ambayo inaendesha maisha yangu. Hizo zingine contract mbili hazina shida kwa sababu naweza kumuachia mtu afanye then nikamlipaBila shaka unafanya kazi za online. Tafuta mtu umfunze awe anafanya we unafanya kumlipa mshahara wakati ukiendelea na masomo. Note, usimwambie unapata kiasi gani ataingia tamaa