Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

Manmud

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
67
Reaction score
8
Habari zenu wana wa jf...nahitaji kujua mtu mwenye bachelor degree ya NTA level 6 na mtu wenye bachelor degree ya NTA level 8 ni yupi kati yao anaweza kusoma masters kwa haraka zaidi?..au ni sifa zipi zinazomruhusu mtu kwenda kusoma masters?. Mwenye kufahamu na kujua naomba anijuze
 
Back
Top Bottom