msaada wa haraka

msaada wa haraka

maimatha

Senior Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
129
Reaction score
161
Naombeni msaada wa haraka sindano za uzazi wa mpango zimeniharibu nikiwa nafanya mapenzi natoka maji mengi sana hata nikiwa naandaliwa kwa ajil ya tendo!!! Hali ambayo sikua nayo kabla nifanyeje? Naombeni msaada wa tiba maana mme wangu hataki kunielewa kabisa istoshe hatuna hata miezi tumeoana na nilichoma before kumfaham asanten
 
mbona tatizo dogo sana hilo rudi hospital watakupa ushauri kitu gani kingine utumie,sio wewe tu hata mimi X wangu ilimtokea,swali lingine?
 
Back
Top Bottom